Burudani

Mimi Mars afunguka mengi baada ya kutua Coke Studio ‘nilianza kutaka tamaa kwenye muziki kisa kauli za watu’ (Video)

Msanii wa muziki, Mimi Mars amefunguka kwa kudai kwamba muda mchache baada ya kuanza safari yake ya kuimba muziki alianza kukata tamaa kutokana na watu wengi kumwambia abaki kwenye utangazaji kazi ambayo alikuwa akiifanya kwa miaka mingi na kumpatia umaarufu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents