Burudani
Miss World 2014: Tazama mahojiano ya Happiness Watimanywa aliyofanyiwa na BBC, London (video)
Mwakilishi wa Tanzania katika shindano la Miss World 2014, Happiness Watimanywa ambaye tayari yupo jijini London, alipata nafasi ya kufanyiwa mahojiano na kipindi cha runinga cha BBC Swahili kilichoruka jana (Nov.18). Tazama akihojiwa na mshindi wa Tuzo za Watu, Saleem Kikeke.
http://youtu.be/GeFuAUq2JUw