Muziki
MUSIC AUDIO: Many Jay X Sixtonny – SIMBA au YANGA
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Many Jay ameachia ngoma mpya ya Simba au Yanga akiwa amemshirikisha Sixtonny.
Je, wewe ni shabiki wa mnyama au Mwananchi…? Enjoy mkwaju huo kwa kubofya link hapa chini kusikiliza ngoma hiyo.
https://mdundo.com/song/2670395