Habari

Nafasi ya Jose Mourinho ipo salama Tottenham

Nafasi ya kocha Jose Mourinho wa Tottenham Hotspur ni salama licha ya matokeo mabaya na tetesi za mashaka kutoka kwa wachezaji wakubwa.

Jose Mourinho aliletwa ndani ya Spurs kwaajili ya kuleta mataji pamoja na lile la Champions League.

Special One ameshindwa kufanya vema kwenye msimu uliyopita na katika mwaka wake wa pili huku matokeo yakiwa sio mazuri kwa upande wake.
Tottenham wamekuwa nje ya FA Cup, ikiwa nyuma ya pointi 14 dhidi ya vinara wa ligi Man City. Wakati siku ya Jumatano ya wiki hii ilipokea kipigo cha jumla ya magoli 5 – 4 dhidi Everton.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents