Burudani

Ndoa ya Nicki Minaj na mchumba wake Kenneth Petty yanukia, Serikali yatoa kibali wawili hao kuoana

Ndoa ya msanii maarufu wa muziki nchini Marekani, Nicki Minaj na mchumba wake Kenneth Petty inanukia kwani tayari Nicki Minaj ameonesha kila dalili kuwa wawili hao kwa sasa wanasubiri muda tu wafunge ndoa.

Related image

 

Tayari Nicki Minaj ameonesha dalili hizo kwa kuanza kubadilisha jina lake kwenye ukurasa wake wa Twitter na kujiita Mrs. Petty, Kitendo cha kubadili jina lake, Kimeleta maswali mengi kwa mashabiki wake wengi wakiamini kuwa tayari wawili hao wamefunga ndoa kimya kimya.

Wiki iliyopita wawili hao walipata kibali cha kufunga ndoa ndani ya miezi mitatu, Taarifa ambazo Nicki Minaj mwenyewe alizithibitisha kwenye mahojiano yake na Podcast ya   Joe Budden.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents