Burudani

Ne-Yo atua Uganda, atatumbuiza Ijumaa hii

Muimbaji wa Marekani, Ne-Yo ametua jijini Kampala, Uganda kwaajili ya show yake Ijumaa hii kwenye uwanja wa cricket wa Lugogo.

11809926_164247373925199_1297004756_n

Hiyo ni mara ya kwanza kwa muimbaji huyo wa ‘Closer’ kwenda nchini Uganda, lakini mara ya tatu Afrika.

Ni hivi karibuni tu muimbaji huyo alikuwa nchini Kenya kurekodi na wasanii mbalimbali kwenye kipindi cha Coke Studio Africa.

Baada ya kutua Kampala, muimbaji huyo alipost picha na kuandika: Waddup Uganda…..”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents