Burudani

New Music: Kabago f/ Hard Mad – Tanzania

Rapper mkongwe wa kundi la zamani la BWV, Kabago, amevunja ukimya wake kwa kuachia kazi yake mpya iitwayo Tanzania. Kwenye ngoma hiyo iliyorekodiwa katika studio za K Records za Mwanza, ameshirikishwa msanii wa dancehall, Hard Mad.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents