Muziki
New Music: Tanzania All Stars – Amani

Wasanii wa muziki nchini wameungana pamoja na kuandaa wimbo maalum wa kuhamasisha amani miongoni mwa Watanzania. Wimbo umeandaliwa na Tanzania Studio chini ya producer, Minor Tone.