Burudani

New Singles Alert: Izzo B, Shaa, Madee na Damian Soul kuja na zao (Picha)

Wakati mfungo wa Ramadhan ukiendelea, wasanii mbalimbali wameendelea kuandaa silaha zao kuziachia katika kipindi hiki.

10522859_1629910727234448_581258533_n

July 4, Shaa ataachia single yake mpya iitwayo ‘Subira’ huku Madee akijiandaa kuachia yake ‘Sheeda’ iliyotayarishwa na Marco Chali.

10507780_1433239633621970_1706756474_n

IMG-20140702-WA0002

Rapper wa Mbeya, Izzo Bizness pia ataachia yake iitwayo ‘Walala Hoi’ na Damian Soul ataachia yake iitwayo Dua la Kuku aliyomshirikisha Banana Zorro.

1389431_724103677631711_643153940_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents