Videos

New Video: Alicios ft. Khaligraph Jones – Ya Nini

Kutoka Taurus Musik’s, mwanadada Alicios ambaye anayefanya vizuri kimuziki katika ukanda wa Afrika Mashariki,  ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Ya Nini’ akiwa amemshirikisha kijana kutoka nchini Kenya Khaligraph Jones, Video ya ngoma hiyo imeongozwa na Stanz Visuals.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents