Burudani
New Video: K.O – Ding Dong
Rapper wa Afrika Kusini, KO ameachia video mpya ya wimbo wake Ding Dong ambao audio yake ilitoka wiki chache zilizopita. ‘Ding Dong’ ni wimbo unaopatikana kwenye album yake iitwayo ‘Skhanda Republic’.