Burudani
New Video: Kimbunga f/ Big Boss – Mke Mtarajiwa
Video mpya ya rapper Kimbunga aliyomshirikisha Big Boss ‘Mke Mtarajiwa’. Ukisikiliza kwa makini wimbo huu utagundua kuwa mke mtarajiwa anayezungumziwa ni rais mpya atakayepatikana baada ya uchaguzi wa mwaka huu.