Burudani

New Video: Malfred – Najaribu

Msanii wa reggae, Malfred ameachia wimbo mpya uitwao Najaribu.

Najaribu ni wimbo wa mapenzi unaoelezea mtu aliyetendwa kimapenzi au anayetendwa kimapenzi licha ya kumuonyesha mapenzi ya dhati mtu huyo, yeye hajali. Unajitahidi kuvumilia matatizo yake ukijua atajirekebisha mwishowe unashindwa na unabaki na maumivu moyoni.

Video ya wimbo huu imeshutiwa Uganda na muongozaji SPK FILMZ Next Edition. Audio imefanywa na Alec Burton kutoka nchini Denmark Studio8. Pia Najaribu ni wimbo au single iliyotoka katika santuri yake ya pili iitwayo Hisia Zangu iliyorekodiwa na Alec.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents