Burudani
New Video: Trubadour George f/ Ibrah – Uzuri wa Sura
Wimbo mpya kutoka kwa Trubadour George ft Ibrah pamoja na video vipo tayari. Wimbo unaitwa Uzuri wa Sura na umetayarishwa na Young Keys Morento pamoja na Cjamoker kupitia Bantu Music.
Video yake imetayarishwa na Mecky Kaloka Expression. Huu ni wimbo wa tofauti kutoka kwa Trubadour George wenye video ya tofauti kulingana na muziki aliozoeleka kuufanya.