Videos
New Video: Wasowiso ft B Gway X Mee Btwon X Ivan -Nimedata
Meneja wa wasanii lakini pia msanii wa muziki Bongo, Wasowiso ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Nimedata’ ambayo amewashirikisha wasanii kama B Gway, Mee Btwon na Director Ivan. Itazame hapa.