Michezo

Newcastle yashuka rasmi daraja baada ya Sunderland kushinda

Timu tatu zilizoteremka daraja kutoka Ligi Kuu England, sasa zimeshajulikana baada ya mechi zilizo chezwa usiku usiku wa May 11.

article-3585396-340F653700000578-758_964x390

Aston Villa ambayo iliishajulikana, imepata wa kwenda nao ambao ni Norwich City ambayo imefanikiwa kushinda kwa mabao 4-2 lakini ikashindwa kujiokoa na Newcastle ambayo ushindi wa mabao 3-0 ilioupata Sunderland kutoka kwa Everton, umewadondosha.

Rafa Benitez mwenye rekodi ya kubeba kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya akiwa na Liverpool, sasa ameteremka daraja akiwa na Newcastle ambayo alipewa aiokoe.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents