Michezo

‘Neymar Judgement Day’: Rais wa Barcelona, wajumbe wa bodi kumfuata Neymar na mkwanja mkononi + Dembele 

Wajumbe wa bodi ya Barcelona kwa mara nyingine tena wanasafiri kwenda Paris kujaribu kukamilisha dili ama mpango wa kumrudisha Neymar huko Nou Camp.

Time is running out for Neymar to make his return to Barcelona from PSG this summer

Rais wa klabu ya Barcelona, Josep Bartomeu pamoja na mkurugenzi wake, Eric Abidal wamesafiri kueleke makao makuu ya klabu ya Paris Saint-Germain hii leo siku ya Jumanne.

Barcelona club president Josep Bartomeu has travelled to Paris to try and seal a deal

Miamba hiyo ya La Liga wanapambana kufa na kupona ili kuhakikisha wanamrejesha Mbrazil huyo ndani ya timu ya Barcelona na wamemuandalia dau la mwisho.

Lionel Messi, a close friend of Neymar's, desperately wants to see him back at Barcelona

Barcelona tayari wamemuandalia Neymar dau la dola za Kimarekani milioni 155 kwa msimu ujao wa usajili huku mipango iliyopo kwa sasa ni kumng’oa kwa mkopo ili kuepukana na rungu la FIFA kuhusu matumizi makubwa ya fedha za usajili baada ya kumvuta Griezmann.

Sport reports how Real Madrid are preparing a 'super offer' for PSG's Neymar

PSG walikataa ofa hiyo na kwa sasa wanasubiria dili la euro milioni 100 ambalo litajumuisha pamoja na wachezaji  Ousmane Dembele na Nelson Semedo.

AS opted to picture Neymar on top of a pile of cash to detail Real's interest in the player

Mabingwa hao wa Ufaransa wanaamini hiyo ingekuwa njia rahisi yakumwachia Neymar lakini kwa Barcelona imekuwa ngumu kuwaachia wachezaji wake wawili wa kikosi cha kwanza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents