Burudani

Nitawaachia watu wengine wamsimamie mwanangu – Gardner

Gardner amekataa kumsimamia mwanae na kuamua kufikiria watu wengine kumsimamia kipindi ambacho atakuwa tayari kuanzA muziki.

12530784_440178586176490_1939370510_n

Gardner ni mtangazaji aliyejipatia umaarufu mkubwa akiwa Clouds Media Group, kabla hajahama na kwenda Times FM na baadaye kuhamia Efm lakini sasa amerudi tena na kuanza kufanya kazi na Clouds Media Group akitokea.

Akiongea kwenye kipindi Take One kinachoruka kupitia Clouds TV, Gardiner, “Nafikiria kuwaachia watu wengine waje wamsimamie Karen, mimi nitakuwa na sauti tu kama baba.”

“Mwanangu sasa hivi anasoma, lakini baadaye akimaliza kama ataamua kuingia kwenye muziki nitamuacha watu wengine wamsimamie. Mimi nikaa pembeni nitakuwa na sauti na kumshauri kama baba tu,” aliongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents