Burudani

Ommy Dimpoz na Shilole kufanya show pamoja Marekani mwezi September

Huu sio mwaka mbaya kwa Ommy Dimpoz na Shilole, ambao kalenda zao bado zinaonesha watakuwa na show kadhaa za kimataifa kabla 2015 kuisha.

ommy shishi USA

Muimbaji wa ‘Wanjera’ Ommy Dimpoz pamoja na Shilole wanatarajia kufanya onesho la pamoja huko Houston,Texas nchini Marekani September 5, 2015.

Onesho hilo limepewa jina la One Night One Stage.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents