Burudani
Peter Msechu: Brand ya Baba levo ilikuwa kubwa angeweza kufanya chochote sasa hivi anajidhalilisha (+ Video)
Baada ya kulamba dili @peter_msechu ametoa maoni kuhusu rafiki yake @officialbabalevo na kueleza kuwa amekosea sana kujiita chawa wa mtu fulani kwani Brand ya @officialbabalevo ilikuwa kubwa sana na angeweza kuisimamisha pekee yake bila kujishushia heshima.