Diamond Platnumz

Picha: Diamond aanza kukusanya midoli ya mwanae kuchezea!

Diamond Platnumz kama mwanaume yeyote yule anayetarajia kuwa baba kwa mara ya kwanza tena kupitia mwanamke ampendaye, amepania vilivyo kumkaribisha mwanae kwenye sayari ya dunia.

10954839_849519225108897_2120451878_n
Baba mtarajiwa Diamond Platnumz akinunua midoli ya kuchezea mwanae

Staa huyo ambaye hivi karibuni alikuwa nchini India, amepost picha akiwa supermarket kununua midoli kadhaa kwaajili ya mwanae huyo ajaye.

“Ushamba huu, eti nimeshaanza kununua vitoy vya kuchezea,” ameandika Diamond kwenye picha hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents