Picha

Picha: Flaviana Matata katika bango kubwa la Kenneth Cole Marekani

Mrembo na mwanamitindo wa Tanzania Flaviana Matata aishiye nchini Marekani ameonekana katika moja ya mabango makubwa ya mbunifu wa mitindo wa Marekani Kenneth Cole (59) ikiwa ni sehemu ya dili mpya ya mrembo huyo kuonekana kwenye mabango ya matangazo nchini Marekani.

Hili ndio bango lenye picha ya mrembo Flaviana Matata lililoko New York, Marekani.

FlavianaLRG

Picha: Instagram: MariaSTsehai

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents