Michezo

Picha: Kikosi cha Azam FC wakiwa wanaelekea South Africa

Kikosi cha wachezaji 24 wa Azam FC ambacho kimeondoka nchini leo kwa ajili ya mechi yake ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Bidvest.

IMG-20160309-WA0029

Azam wameondoka wakiwa wamevaa kimataifa zaid baada ya kuvaa vazi la Suti kama ambavyo huwa wanafanya timu zingine za Ulaya.

12814665_1135967313110290_1751571246852653353_n

Azam FC inakwenda nchini Afrika Kusini kwenda kuwavaa wenyeji wake hao ambao wanatokea katika jiji la Johannesburg.

IMG-20160309-WA0013

IMG-20160309-WA0026

12801474_1135966103110411_6621679224069370764_n

12809535_1135966663110355_4149863084798262334_n

10392501_1135964079777280_6697366497168637111_n

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents