Habari

Picha: Makamu wa Rais awasili Arusha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Arusha tayari kufungua Kongamano la 8 la mwaka la Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi linalofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Arusha (AICC).

Makamu wa Rais amepokelewa na Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mhe. Mrisho Gambo na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango.

By Peter Akaro & Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents