Picha

Picha: Peter Okoye(P-Square) apata mtoto wa kike

14a0c2385b5211e29ca422000a1fb149_7

Peter Okoye wa kundi la P-Square na mke wake jana wamebahatika kupata mtoto wa pili wa kike waliyempa jina ‘Aliona’. Mtoto huyo amezaliwa huko San Francisco nchini Marekani ambako Peter yupo nchini humo kwa mapumziko na familia yake.

Amezibreak good news hizo kwa kuweka picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa hospitali bega kwa bega na mke wake ambapo kwenye picha hiyo ya juu ameandika,”Thank u Lord… Am the new Daddy in town…. And she is so beautiful and adorable.”

Peter ameandika: Welcome to the world Aliona.... God is great
Peter ameandika: Welcome to the world Aliona…. God is great
Ameandika: Mother and child are perfectly fine.... Thank u Jesus
Ameandika: Mother and child are perfectly fine…. Thank u Jesus

4

Peter ana mtoto mwingine wa kiume aitwaye Cameron.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents