Mitindo
Picha: Red Carpet Swahili Fashion Week 2013 – Day 2
Jumamosi hii ilikuwa ni siku ya pili ya onesho la Swahili Fashion Week 2013 linalofanyika kwenye hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam. Hizi ni picha za red carpet.
Tazama picha jinsi watu walivyokapendeza.
Asia Idarous na Martin Kadinda.