Burudani

Picha: Shangwe zatawala katika show ya ‘Pool Party’ jijini Dar

Ijumaa hii ndani ya kiwanja cha Regency Park hotel Mikocheni jijini Dar es salaam kulikuwa na show ya ‘Pool Party’ ambayo iliendana sambamba na ‘birthday celebration’ za watu wote waliosherekea siku zao za kuzaliwa ndani ya mwezi April.
Navy Kenzo
Navy Kenzo wakifanya yao

Wasanii Ben Pol, Izzo B, Barnaba , Msami pamoja Nany Kenzo walifanya show kali hali ambayo iliibua shangwe za kutosha. Angalia picha.

Full shangwe, mashabiki wa muziki wakifuatilia show kwa makini

Full shangwe, mashabiki wa muziki wakifuatilia show kwa makini
Baadhi ya watu wakiwa kwenye pool - Copy
Baadhi ya watu wakiwa kwenye pool part

Barnaba
Barnaba

Ben Pol
Ben Pol

DJ D Ommy
DJ D Ommy

Gigy Money - Copy
Gigy Money
Idris Sultan
Idris Sultan

Msami akionyesha manjonjo
Msami akionyesha manjonjo

Nahreal
Nahreal

Navy Kenzo
Navy Kenzo
IMG_9315

IMG_9355

Izzo B

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents