Burudani

Picha: Unawafahamu watoto watatu wa Alikiba?

Alikiba ni baba anayejivunia wa watoto watatu.

10888824_889999741023498_2802340465900844782_n

Muimbaji huyo wa ‘Mwana’ ameamua kuitambulisha familia yake hiyo kwa mashabiki wake katika kuukaribisha mwaka mpya 2015.

“Nawapenda sana watoto wangu,” ameandika Kiba kwenye picha aliyoweka kwenye Facebook.

“Kingine ambacho kinabeba na kitaendelea kubeba uzito kwenye maisha yangu ni familia yangu na hasa watoto wangu. Wananipa FURAHA sana. Inshaallah Mwenyezi Mungu awalinde siku zote.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents