Picha

Picha ya siku: Mchoro wa ‘Zombi’ uliochorwa na mwanafunzi wa form 4 kwenye karatasi ya majibu

ndalichako

Hii ni picha ya Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Joyce Ndalichako akionyesha karatasi ya majibu ya mmoja wa watahiniwa wa mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2012, Dar es Salaam jana. Picha na Edwin Mjwahuzi (Mwananchi).

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents