Habari

Rais Magufuli akitoa chozi wakati wa hotuba yake, tukio la kuuaga mwili wa hayati Benjamin Mkapa (+Video)

Picha ikimuonyesha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli akitokwa na chozi wakati akitoa hotuba yake iliyowagusa wengi, katika tukio la kuuaga mwili wa Aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin William Mkapa uwanja wa Uhuru jijini Dar Es Salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda kuzikwa kijijini Lupaso wilayani Masasi mkoani Mtwara.

https://www.youtube.com/watch?v=3BvfflV5o_U&t=9s

https://www.youtube.com/watch?v=QHrklJATGss&t=2s

https://www.youtube.com/watch?v=qt-sjY7aqzQ&t=21s

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents