Habari

Rais Magufuli apiga simu Cloudstv: Stendi ya Dodoma sikujenga kwa ajili ya matajiri (+Video)

Baada ya Mkurugenzi wa Dodoma, Godwin Kunambi amefika kituo kikuu cha mabasi Dodoma kutatua changamoto zilizopoMh. Rais Magufuli alipiga simu Live na kutoa maagizo hay;-

“Jana niliona kwenye kipindi cha Clouds360 nikaona malalamiko ya wafanyakazi (stand Dodoma), ni ya msingi na wewe (Kunambi) ukasema utakwenda kuwasiliza matatizo yao nakupongeza kwa uchapakazi, umekuwa mbunifu katika kuleta Maendeleo Dodoma ambapo ni Makao Makuu ya Nchi, Stendi hii haikujengwa kwa ajili ya matajiri nimeijenga kwa ajili ya Watanzania wote wakiwemo na maskini, ukiwa unafanya kitu cha Maendeleo katika nchi ya Tanzania lakini kiwe kwa ajili ya watu fulani hicho ndicho sikipendi”

https://www.instagram.com/p/CBkaNx5Bs15/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents