Burudani
Rapper Songa afiwa na baba yake
Rapper Songa amefiwa na baba yake mzazi.
Songa ametoa taarifa hiyo ya msiba kupitia Twitter.
Nimepata taarifa za kusikitisha sana Leo mchana.Baba yangu mzazi amefariki,Naomba Mungu amlaze pema,shukrani wote mnaondelea kunipa pole.
— SONGA (@NiiteSonga) October 26, 2015
Tunampa pole Songa kwa msiba huo.