Burudani

Ray C kuanzisha ‘Ray C Foundation’, itakayoelimisha kuhusu madhara ya madawa ya kulevya

Baada ya kujiondoa kutoka kwenye utumiaji wa madawa ya kulevya na kurejea kwenye afya yake, Rehema Chalamila aka Ray C ameanzisha taasisi yake itakayokuwa ikitoa elimu kuhusiana na madhara ya utumiaji wa madawa ya kulevya.

page

Kupitia Instagram Ray C aliandika: Asante wapenzi nataka kusaidia jamii yangu ijue madhara ya madawa ya kulevya,walioathirika watoke Kama mimi na ambao hawajawahi kamwe wasi thubutu ndio target yangu!!!!!Mungu Ana sababu na mimi na ndio mana aliniokoa.”

Ray C alisaidiwa na Rais Jakaya Kikwete kutoka kwenye janga hilo ambaye aligharamikia matibabu yake hadi alipopona.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents