Burudani

RECAP: Rayvanny kufanya Collabo na Davido – (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_t amezumgumzia kuhusu Rayvanny kushinda tuzo tano nchini Kenya.

@el_mando_tz amempongeza Rayvanny na kusema ushindi huo ni mwanzo mzuri kwa Rayvanny kwa upande wa Kimataifa.

Rayvanny mwaka huu ameonyesha nia na dhamira ya kwenda kimataifa na huenda akaja na collabo na Davido.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Host: @el_mando_tz cameraman @samirkakaa

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents