Burudani

Romy Jons kurudi katika muziki?

Dj wa Diamond Platnumz, Romy Jons ameendelea kufanya vizuri katika upande wa burudani baada ya kuonyesha kipaji chake cha uigizaji.

Romy ambaye anatarajiwa kuonekana katika series ya ‘Kapuni’ ameonekana katika studio za muziki za Wanene akiwa na producer Luffa hivi karibuni huku picha iliyoonekana katika mtandao wa Instagram ikimuonyesha Dj huyo akifuatilia jambo kwa umakini.

Romy aliwahi kuwa memba wa kundi la RADA Entertment liliokuwa likiunda na T.I.D, Marehemu Ngwear, Babuu wa Kitaa na wengineo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents