Burudani

Shilole: Nawashukuru sana Watanzania kwa upendo wenu mkubwa

Salaam ndugu zangu, Nimeona upendo, nimeona heshima na kukubalika kwa kiwango cha pekee katika wakati huu wa changamoto niliyokutana nayo. Nashukuru sana kwa upendo wenu, Nashukuru sana wote walionijulia hali na kuniombea dua.


.
Kuhusu maendeleo yangu mimi niko sawa, naendelea kupambana. Changamoto ni sehemu ya maisha, haziwezi kunifanya nianguke. Lakini yote hayo sio kwa nguvu zangu, ni Mungu na upendo wa Watanzania wenzangu mnaonitakia mema.
.
Maisha yanaendelea, tuendelee kuijenga jamii yetu : Jamii itakayokataa kabisa unyanyasaji wa kijinsia.
🙏🏼.

https://www.instagram.com/p/CCk50VxhvPk/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents