Habari

‘Shinda na Sim Account’ ya CRDB yaja na zawadi za kumwaga kwa wateja(Video)

Benki ya CRDB Alhamisi hii imezindua kampeni maalumu ya utumiaji wa huduma zake ya kibenki kupitia simu ya mkononi ijulikanayo kama SimAccount ambayo inawapa wateja wa benki pamoja na Watanzania kwa ujumla nafasi kujishindia fedha taslimu zaidi ya shilingi milioni 20.

Dkt. Kimei alisema uzinduzi wa kampeni hiyo ya “Shinda na SimAccount” unaleta chachu kwa
watumiaji wa SimAccount kuendelea kufurahia huduma hizo huku wakijiweka katika nafasi nzuri ya
kijishindia zawadi kubwa ya magari.

Akimalizia hotuba yake Dkt. Kimei alitoa rai kwa wateja na watanzania wote kwa ujumla kujiunga na SimAccount kwani ni mfumo madhubuti wa kibenki utakaowawezesha kufanya miamala yao kwa
urahisi zaidi, pamoja na kijishindia zawadi mbalimbali katika kipindi cha miezi minne ya kampeni.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents