Michezo

Simba SC yarudi mjini kwa ndege ya kukodi

Kikosi cha klabu ya soka ya Simba kimetua Jijini Dar es Salaam hii leo kwa njia ya ndege tayari kwa maandalizi yao ya mwisho dhidi Yanga hapo kesho Octoba 28.

Kikosi cha timu ya Simba SC kikiwa ndani ya ndege kikitoka Zanzibar

Katika kujiandaa na mchezo huo wa raundi ya nane wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC iliweka kambi mjini Zanzibar kabla ya kuwakabili Yanga SC.

Simba imeweka kambi katika Hoteli ya Serena iliyopo Posta Jijini Dar es salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents