Habari
Song: MALLYKA ft NASH DESIGNER – SIWEZI
Hii ni ngoma mpya kutoka kwa Mallyka Binti ambaye anatokea kule visiwani Zanzibar hapa akiwa amemshirikisha Nash Designer ambaye pia ndo Producer wa hii ngoma inayo kwenda kwa jina “SIWEZI”sikiliza hapa