Song: Meek Mill amjibu Drake kupitia wimbo mpya ‘Wanna Know’
Beef ya Drake na Meek Mill inazidi kupamba moto.
Baada ya Drake kumchana kupitia nyimbo mbili za diss alizotoa ‘Charged Up’ na ‘Back To Back’, Meek Mill hajataka kupoteza muda, tayari amemjibu Drake kwa wimbo mpya uitwao ‘Wanna Know’ ambao umetoka siku ya Alhamisi.
Hii ni baadhi ya mistari kwenye wimbo huo:
“Now when that shit went down with Chris, you wrote a check
In New Orleans with my chain I get respect (you a fraud)
So what that tell me? You a p*ssy and a fan
Said they run with you we the shooters at your neck
“I just wanna know, if you ain’t write that running through the six shit
Tell us who the fuck Quentin out here running through the six with?”
https://soundcloud.com/dreamchasersrecords/meek-mill-wanna-know-ft-quentin-miller-prod-by-jhalil-beats-and-swizz-beatz