Burudani

Steve RnB aeleza siri ya kudumu kwenye bendi ya Inafrika

Steve RnB ni muimbaji ambaye amedumu kwenye bendi ya Inafrika kwa muda mrefu, huku akiendelea kutoa kazi zake za binafsi. Ameelezea nafasi aliyopewa kwenye bendi hiyo na kumfanya adumu nayo kwa muda mrefu.

Steve Rnb

“Nilivyoingia Inafrika yaani pale mimi sikukaribishwa kama mtu amekuja kutembea, mimi nilifika pale nimepewa kama nafasi kwamba you’re a lead singer yaani hiyo ndio nafasi yangu.” Alisema Steve kupitia XXL ya Clouds Fm. “Tuko watu saba na kila mtu ana kazi ya kufanya….So pale Inafrika kila mtu anamtegemea mwenzake usipokuwepo gap yako inaonekana. Kitu ambacho nimejifunza ni kwamba nilipoingia InAfrika nilikaribishwa kama member kabisa, kwahiyo ndo kitu kinanifanya kila siku nifikirie these brothers wamenipa nafasi kubwa kwahiyo siwezi kuwaangusha.” Alimaliza Steve.

Steve kwa sasa ameachia wimbo mpya uitwao ‘Listen’.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents