Habari
Tabora: Kijana ahukumiwa miaka 30, jela kwa kosa la kumbaka dada yake
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tabora imemuhukumu kifungo cha miaka 30 jela kijana mmoja, Kadushi Edward mkazi wa Kijiji cha Katindi, wilayani Uyui baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka dada yake mwenye umri wa miaka 16.
https://www.instagram.com/p/B215Vzmg-rA/