Habari

Teaser: SAJNA kutoa wimbo mpya ‘NINGEKUWA SINGLE’ aliyowashirikisha Ben Pol na C-Sir Madini wiki ijayo, sikiliza teaser ya wimbo huo hapa (Audio)

Msanii wa bongo flava Sajna kutoka Rock City Mwanza baada ya kimya cha muda mrefu bila kutoa official single hatimaye kawaunganisha mshindi wa tuzo ya ‘Mtunzi bora wa mashairi Bongo Flava’ KTMA 2013 Ben Pol na C-Sir Madini katika wimbo wake mpya ‘NINGEKUWA SINGLE’ anaotegemea kutoa wiki ijayo.

SONY DSC

Sajna aliyefanya vizuri katika single yake iliyomtambulisha ‘Iveta’ na baadaye katika wimbo aliomshirikisha Linah ‘Sitaki Kuumizwa’ alikaa kimya muda mrefu kutokana na majukumu ya shule kummbana.

Isikilize teaser ya wimbo huo mpya ‘NINGEKUWA SINGLE’

http://www.youtube.com/watch?v=Y-vShAsVqJY

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents