HabariMichezo

#TETESI Diarra apata dili Uturuki

Tetesi kutoka kwenye chanzo Cha kuaminika kutoka nchini Mali kuhusu Kipa wa Yanga SC Djidui Diarra zinasema Kuna timu ya ligi nchini Uturuki inahitaji huduma ya golikipa Huyo Bora ndani ya Africa akiwa amefanikiwa kutwaa tuzo ya golikipa Bora mara mbili ya ligi kuu,lakini akitwaa tuzo ya kipa Bora kwenye fainali kombe la shirikisho fainali dhidi ya USM Alger.

Wamevutiwa na ubora wa kipa Huyo baada ya kuingia kwenye kinyang’anyiro Cha kugombea kipa Bora katika tuzo za CAF na makipa wakubwa Afrika lakini pia amekuwa akitwa kwa muendelezo katika timu ya taifa ya Mali.

Lakini ukiacha yeye timu hiyo pia imevutiwa na mchezaji mwingine kiungo kutoka Mali Aliou Dieng kutoka klabu ya Al Ahly ya Misri nae akitakiwa kwenda kwenye hiyo klabu ya Uturuki pamoja na Screen protecter Diarra.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents