HabariMichezo

#TETESI Konkoni kutemwa Young Africans

#Tetesi Mshambuliaji wa Yanga SC Hafiz Konkoni Raia wa Ghana huenda akatemwa kwenye kikosi cha Wananchi kutokana na kutokuridhishwa na kiwango cha mchezaji huyo, mpaka sasa uwezekano mkubwa uliokuwepo ni kutolewa kwa mkopo kwenda kwenye klabu nyingine au kupewa mkono wa kwaheri moja kwa moja kwenye dirisha hili dogo la usajil.

Kocha Miguel Gamondi hajatokea kuvutiwa na uwezo wa mshambuliaji huyo na kwasasa Yanga wapo mbioni kumalizana na mshambuliaji mwengine ili kuja kuchukua nafasi hiyo.

Kwa uwezo alioonesha nyota huyu Raia wa Ghana Hafiz Konkoni ni sahihi kuachwa kweli au anatakiwa kupata muda zaidi?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents