Burudani

The Life of Pablo ya Kanye West ilisikilizwa mara milioni 250 katika siku 10!

Album mpya ya Kanye West, The Life of Pablo ilisikilizwa mara milioni 250 mtandaoni, siku 10 tangu iwekwe kwenye Tidal, umeripoti mtandao huo.

kanye-west-the-life-of-pablo-delay-2016-spin1-640x417

Ripoti hiyo imekuja baada ya Kanye West kuelekeza zisitolewe takwimu zake pindi album hiyo ilipotoka February.

Kufuatia hatua, Kanye ametweet:

Pablo did 250 Million… I’m tired of people old talking to me like I’m regular!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents