Burudani

The Rock asherekea msimu wa tatu wa ‘Ballers’ (Video)

Dwayne Johnson (The Rock) muigizaji pekee anayelipwa hela nyingi duniani ameonyesha furaha yake kwa ujio wa filamu yake ya ‘Ballers’ inayotarajiwa kutoka mwezi ujao.

Kupitia mtandao wa Instagram muigizaji huyo aliyetangazwa na Jarida la The People mwaka 2016 kuwa mwanaume mwenye mvuto zaidi, ameposti video ya utengenezaji wa filamu hiyo itakayoonyeshwa na kituo cha runinga cha HBO.

“Celebrating our third season of @HBO’s #1 half hour show, #Ballers premiering next month.#1 hour show is the bad ass Game of Thrones.Thank you Television Academy and EMMY magazine.And THANK YOU ballin’ fans for the amazing support season after season. ??Now enjoy these shots of me looking like I take myself way too serious.#EMMYMagazine #TelevisionAcademy #Ballers ?,” ameandikaThe Rock.

Hata hivyo ni furaha kubwa kwa muigizaji huyo anayeongoza kulipwa hela nyingi kwa sasa katika filamu, kwani ataonekana pia katika gazeti maarufu nchini humo la EMMY.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents