Burudani

Tunaua Tasnia ya Habari, Ubunifu hakuna – Jabir (Video)

Mtangazaji wa Efm @jabirsalehtherealest ametoa maoni yake kuhusu mjadala aliouanzisha @el_mando_tz kuwa kwa sasa media nyingi Tanzania hazizalishi Watamgazaji wakubwa, na Maproducer wa vipindi.

@jabirsalehtherealest ameweka comment yake kwenye Post ya @el_mando_tz na kuandika kuwa:-

“Tulipokua tukikemea watangazaji wasio
na weledi wakivamia hii fani, tuliambiwa tuna misimamo ya kihiphop na tuna roho mbaya, sasa tuvune tulichopanda, kila mmoja acheze nafasi yake, binfasi nimesaidai ku shape vijana wengi tu now wako fresh(wakipenda watasema), kuhusu kwa nini hatuajiriwi Bbc na mashirikka mengine nadhani wao ndo wanapaswa waeleze kwa nini wa Tz hawana nafasi lakini watu wenye weledi wapo vzuri tu ila
wanakausha ambapo ni sawa tu wao ndo wenye maamuzi ya kuchagua wamtakae, ajabu ni kua media hata hapa zinaibuka za kutosha wawekezaji wapo
japo cha kuchekesa mambo yafinyikayo na yale yale, ubunifu je? kiwa mtangazaji katika kipindi walau miaka 10 hujawahi buni chochote kikawa na tija kwa jamii jitafakari, kunyoa ama kusuka ni juu yetu
na wao.Peace brother🤜🏿”

kumsikiliza @el_mando_tz na utoe maoni yako kuhusu Mjadala huo.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents