Burudani
Ujumbe wa Diamond: Sio kila utakayempa nafasi atakuletea Matokeo Chanya
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond ameandika ujumbe huu:
Mwenyez Mungu amekupa nafasi ili nawe kuwapa wenzio fursa waweze kujikwamua kimaisha….sio kila utaempa nafasi atakuletea Matokea Chanya….Usihuzunike, kubaliana na hilo na uendelee kutoa Misaada, kuwapenda na kuwaheshimu wote 🙏🏼