HabariMichezo

Uzinduzi Afrika Super League ni zaidi ya Kombe la Dunia

Kuelekea ufunguzi wa African football league mwenyekiti wa bodi ya Simba SC Salim Abdallah ‘Try Again’ amewaambia watanzania wawe na shahuku kubwa ya Tamasha Hilo maana ufunguzi wa uzinduzi wa tamasha Hilo utakuwa level za kombe la Dunia

Kwa maana ya Lighting(Taa), Sounding (Mziki) Entertainment (Burudani) pamoja na watu mbalimbali mashughuli duniani tunawatarajia watakuja katika mfunguzi.

Miingoni watu walioniahidi watakuja ni Rais wa FIFA Gianni Inflantino,Rais wa CAF Patrice Motsepe na baadhi ya wachezaji mahiri wa Zamani wame niahidi watafika mfano kama Tom Cahill nahodha wa Zamani wa Australia ambaye amecheza kombe la Dunia mara Tano pia Kelvin Prince Boateng lakini pia wapo wachezaji wengi wanaotajia kuja nchini kwaajili ya Tamasha Hilo

“Tamasha letu litakuwa tamasha kubwa lenye ubora wa hadhi ya kuita event ya Dunia,kwahiyo Wana Simba ni wakati wao wajiandae kuvaa jezi wajiandae kufurahi Yani Hali itakuwa tofauti kabisa”Amesema Salim Tu Again

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents